JAY-Z Kafunguka kuhusu beef na Future na Kanye West,Kuchukiwa kwa TIDAL,Kuacha kufanya video za Muziki

JAY-Z>Kuhusu beef Na Future>Sina tatizo na Future,Sina sababu ya kumwaibisha,Yale ni mambo ya Rap Tu,Ni mambo Nyeti ya Rap JAY-Z>Kuhusu kufanya video za Muziki>Sifanyi Video za Muziki,Nafanya makala,Nataka video zangu zionyeshe nachosema kwenye Wimbo,Kama Cartoon ya O.J Stori JAY-Z>Kuhusu nyimbo na album kwenye chati za billboard>Sio muhimu billboard kuweka album zangu,Bora album Imenunuliwa,Imewafikia watu,Pesa imeingia,watu…

Rais Magufuli amtumbua Naibu Kamishna wa Uhamiaji

Rais John Magufuli ameagiza kusimamishwa kazi kwa naibu kamishna wa uhamiaji kwa tuhuma za kuingiza nchini humo raia 50 wa Somalia na kuwapa vibali vya kuishi. Kupitia waziri mkuu Kassim Majaliwa kiongozi huyo ametaka kusimamishwa kazi mara moja kwa Bi Grace Hokororo na kuundwa kwa tume itakayochunguza utoaji wa vibali vya uraia nchini humo. Kauli…

Ujumbe mkali wa Diamond Platnumz kwa wanaomuandama Zari kuhusu Msiba wa Mama Yake

Diamond Platnumz ametoa kauli ya kwanza baada ya mama watoto wake ‘Zari The Boss Lady’ kuandamwa sana IG Kuhusu kutoonyesha uzuni,majonzi kwenye msiba wa mama yake, kusahau mapema sana msiba na kuendelea kula bata. Ujumbe mkali wa Diamond Platnumz kwa wanaomuandama Zari kuhusu Msiba wa Mama Yake Ulisema… “Kuna vichupi kunuka wanajifanya wanajua sana uchungu wa Misiba ya watu…. Mtoto…

Teknolojia mpya katika sekta ya Ujenzi

Katika kuunga mkono juhudi za Serikali kuleta maendeleo kwa wananchi kampuni ya magari ya Mantrack Tanzania imeendesha warsha fupi kwa lengo la kutambulisha vifaa na teknolojia mpya itakayoongeza ufanisi wa kazi hasa katika sekta ya ujenzi. Akizungumza na waandishi wa habari, Mwakilishi wa Mantrack Tanzania alisema wana lengo la kuendana na kasi ya Serikali ya…

Jada Pinkett;Ndoa yangu imedumu kwa miaka 20 kutokana na…

Mke wa mwigizaji Will Smith ,Jada Pinkett Smith amefunguka kuhusu ndoa yake kufikisha miaka 20, mnamo december mwaka huu nakusema urafiki na mume wake umesaidia kudumisha ndoa yao. Jada anasema hakuna kitu kigumu kama maisha ya ndoa ila urafiki na Will Smith umesaidi kumudu matatizo yetu. Jada yuko kwenye ziara ya vyombo vya habari akitangaza filamu yake mpya Girls Trip