Picha 11: Inavyoonekana nyumba inayoelea baharini iliyopo Zanzibar

Zanzibar ni moja ya vituo bora vya watalii Duniani ambapo kutokana na mandhari yake ya kupendeza watalii kutoka sehemu mbalimbali wamekuwa wakimiminika Visiwani humo. Kutokana na uhitaji wa sehemu za kufikia wageni ambazo zinavutia zaidi nimekusogezea picha 15 zinazzonesha moja ya huduma inayotolewa na boti yenye vyumba viwili vya kulala, sebule na sehemu ya kupikia ambayo…

Mabaki ya binadamu ‘wa kwanza’ yapatikana Morocco

Uchunguzi umebainisha kuwa dhana ya kuwa asili ya binadamu wa kwanza ni kutoka Afrika ya Mashariki zaidi ya miaka laki mbili iliyopita sio kweli. Visukuku vya binadamu watano wa mapema imepatikana Kaskazini mwa Afrika na inaonyesha binadamu wa kwanza aliishi miaka 100,000 zaidi ya vile ilivyodhaniwa. Prof Jean-Jacques Hublin, kutoka Leipzig, Ujerumani, anasema kuwa ugunduzi…