UTAFITI: Unapotumia Instagram, Twitter, Facebook tambua unapata madhara haya…

Wataalamu wa Saikolojia kutoka Royal Society for Public Health wameutaja mtandao wa Instagram kuwa unaongoza kusababisha magonjwa ya akili na msongo wa mawazo kwa vijana ikifuatiwa na SnapChat, Facebook, Twitter na YouTube. Kwa mujibu wa Wanasaikolojia hao, miongoni mwa athari zinazosababishwa na Instagram pamoja na kusababisha magonjwa ya akili kama vile Bipolar, msongo wa mawazo…

Mabaki ya binadamu ‘wa kwanza’ yapatikana Morocco

Uchunguzi umebainisha kuwa dhana ya kuwa asili ya binadamu wa kwanza ni kutoka Afrika ya Mashariki zaidi ya miaka laki mbili iliyopita sio kweli. Visukuku vya binadamu watano wa mapema imepatikana Kaskazini mwa Afrika na inaonyesha binadamu wa kwanza aliishi miaka 100,000 zaidi ya vile ilivyodhaniwa. Prof Jean-Jacques Hublin, kutoka Leipzig, Ujerumani, anasema kuwa ugunduzi…

Mambo 5 ambayo hutakiwi yakupite

Najua nina watu wangu ambapo hawako nyuma kufuatilia kila kinachoendelea katika ulimwengu huu ambao umejaa mambo mengi na mengine mapya yakiibuka kila siku ambapo kwa kutambua hilo, leo April 20, 2017 nimekusogezea mambo matano ambayo pengine hukuyafahamu. Unaambiwa idadi ya kuku waliopo duniani, inazidi idadi ya watu wote walio hai mpaka muda huu. #UNAAMBIWA Utafiti kuhusu…

Sarafu ya Queen Elizabeth yaibiwa huko Ujerumani

Sarafu ya Dhahabu yenye mchoro wa Queen Elizabeth na thamani ya Dola Milioni 4.5, imepotea katika Jengo kuu la makumbusho huko Berlin Ujerumani  Siku ya jumatatu tarehe 27 Machi 2017,  Polisi wanasema wezi walivunja jengo kuu la makumbusho hapo Berlin nakuiba sarafu yenye uzito wa kilo 100 (100kg)  ambayo inaweza kubebwa na watu watatu au zaidi…