UTAFITI: Usafi wa kinywa, kinga kwa ugonjwa wa ini

Imeelezwa kuwa watu wanaosumbuliwa na ugonjwa wa ini wanaweza kuepuka kifo cha mapema kutokana na ugonjwa huo kwa kusafisha kinywa vizuri hasa kusugua meno na fizi. Kwa mujibu wa stori iliyochapishwa na Daily Mail April 20, 2017, fizi ambazo hazisafishwi vizuri huzalisha bacteria ambao husafiri hadi kwenye ini na huweza kusababisha kifo kwa mtu anayeugua…

Mtoto wa miaka mitano anayedaiwa kubakwa na kaka yake

Mtangazaji Geah Habibu kupitia kipindi cha Leo Tena ya Clouds FM, leo April 10 2017 ametuletea Heka Heka inayotokea Kigogo jijini Dar es Salaam ambayo inamuhusu mtoto wa kike kubakwa na kaka yake. Mtoto huyo mwenye umri wa miaka mitano anadaiwa kufanyiwa udhalilishaji huo na kaka yake wa kuzaliwa tumbo moja mwenye umri wa miaka…

Wziri Mwakyembe ashindwa kujibu swali la waandishi wa habari

Leo tarehe 10 Aprili, katika mkutano na waandishi wa habari kumsikiliza Roma na wenzake kutokana na tukio la kutekwa kwao, Ilifikia wakati wa waandishi kumuuliza waziri maswali na mwaandishi wa habari alimuuliza >>> Kunakitu amekizungumza Mbunge Bashe leo bungeni kwamba vyombo vya usalama vinahusika katika matukio haya, Je ikibainika nikweli vyombo hivyo vinahusika, kwanza tyaswira…