TFF imeamua kuwatengenezea Simba SC Ngao mpya

Baada ya shirikisho la soka Tanzania TFF kuomba radhi kwa kutoa Ngao ya Hisani kwa Simba iliyokuwa na makosa ya kiuandishi, leo shirikisho hilo limeonesha na kutangaza kuitengenezea Ngao mpya Simba ambayo watawakabidhi siku ya mchezo wa Ligi Kuu kati ya Simba dhidi ya Azam FC. Kama utakuwa unakumbuka TFF ambao ndio waandaaji wa mchezo wa Ngao ya Hisani kati ya Simba dhidi ya Yanga uliyochezwa uwanja wa Taifa August…

Cynthia Rothrock kaongeza list ya Mastaa wa Dunia waliotembelea Tanzania

mastaa wanaotembelea Tanzania imezidi kuongezeka licha ya wengi wao kutoweka wazi ujio na location wanapokuwa Tanzania lakini hii imekuwa tofauti baada ya mkongwe wa Filamu za mapigano Cynthia Rothrock ‘Lady Dragon’ kuamua kuweka wazi location na kusema yupo Visiwani Zanzibar. Cynthia Rothrock ni mwigizaji aliyetamba sana na movie za mapigano kabla ya kutua Tanzania alipitia Kenya…