Rais Magufuli amtumbua Naibu Kamishna wa Uhamiaji

Rais John Magufuli ameagiza kusimamishwa kazi kwa naibu kamishna wa uhamiaji kwa tuhuma za kuingiza nchini humo raia 50 wa Somalia na kuwapa vibali vya kuishi. Kupitia waziri mkuu Kassim Majaliwa kiongozi huyo ametaka kusimamishwa kazi mara moja kwa Bi Grace Hokororo na kuundwa kwa tume itakayochunguza utoaji wa vibali vya uraia nchini humo. Kauli…

Muigizaji azungumza kuhusu ”mauaji” ya Trump

Muigizaji wa filamu Johny Depp alitishia kumuua rais wa Marekani Donald Trump wakati wa hotuba katika sherehe za Glastonbury. Je unaweza kumleta Trump hapa? Aliwauliza mashabiki huku akizindua filamu yake ya The Libertine. Baada ya kuzomwa na mashabiki aliongezea: Hamukuelewa kabisa ni lini muigizaji alimuua rais? Nataka kuweka wazi ,aliongezea. ”Mimi ni muigizaji. Ninadanganya ili…

Trump aisifu Saudi Arabia kwa kuitenga Qatar

Rais Trump ameungana na nchi ya Saudi Arabia katika mgogoro wa kidiplomasia unaoendelea na Qatar, huku akiusifu msimamo wa nchi hiyo ya tawala ya kifalme wa kuitenga nchi jirani baada ya Qatar kutuhumiwa kusaidia kifedha makundi yenye msimamo mkali. Trump ameandika katika ukurasa wake wa Twitter kwamba hatua hiyo inaweza kuwa ndio mwanzo wa kutokomeza…