Rais Magufuli apongezwa na Rais wa JICA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt John Pombe Magufuli akutana na Rais wa Shirika la Kimataifa la Maendeleo la Japan (JICA), Shinichi Kitaoka Ikulu Dar es saalam. Ambapo Rais huyo wa JICA amempongeza Rais Magufuli kwa kupambana na rushwa na msukumo mkubwa anaouleta wa kupambana kuleta maendeleo hususani kuifanya Tanzania kuwa nchi ya…

Teknolojia mpya katika sekta ya Ujenzi

Katika kuunga mkono juhudi za Serikali kuleta maendeleo kwa wananchi kampuni ya magari ya Mantrack Tanzania imeendesha warsha fupi kwa lengo la kutambulisha vifaa na teknolojia mpya itakayoongeza ufanisi wa kazi hasa katika sekta ya ujenzi. Akizungumza na waandishi wa habari, Mwakilishi wa Mantrack Tanzania alisema wana lengo la kuendana na kasi ya Serikali ya…

Kasisi aliyewalisha watu nyoka Afrika Kusini, afika Nigeria

Kasisi mmoja anayejiita nabii na ambaye alisababisha utata nchini Afrika Kusini, mwaka 2015, baada ya kutuhumiwa kuwafanya watu kula nyoka, panya na nywele ameonekana kwenye ibada nchini Nigeria Kasi huyo alioneaka katika ibada iliyoongozwa na mhubiri maarufu wa runinga nchini Nigeria TB Joshua mjini Lagos. Bw. Joshua ameandika katika mtandao wake wa kijamii kumhusu Mchungaji…

Wanawake Dar watumia damu ya ng’ombe kutengeneza chakula cha mifugo

Kundi moja la kina mama mjini Dar es Salaam, wakiwemo wajane na waathriwa wa Virusi vya Ukimwi, wameungana na kubuni njia ya kuvutia ya kupata riziki kupitia utengenezaji wa vyakula vya mifugo kwa kutumia damu ya ng’ombe. Kina mama hao wameanzisha biashara hiyo kujikimu kimaisha na kujitegemea licha ya changamoto wanazopitia.  

Picha za ndani na nje ya nyumba ya Obama atakapoishi na familia yake kwa muda wa miaka miwili….

Aliyekuwa rais wa Marekani President Barack Obama na familia yake wameendelea kuishi mjini Washington DC na kununua nyumba waliyokuwa wanaishi toka January mwaka huu. Nyumba hii inavyumba tisa vya kulala, mabafu nane, ipo maeneo ya Upmarket Kalorama na Obama amelipia dola za Kimarekani milioni $8.1m (£6.2m). Familia ya Obamas watabaki Washington mpaka mtoto wake mwenye miaka 15 #Sasha atakapomaliza shule…

Walemavu walioungana wampata kijana wa kuwaoa

Kwa yeyote aliyewahi kukutana nao, mapacha wawili ambao ni walemavu walioungana matumbo, Maria na Konsolata hatabisha kwamba pamoja na hali yao, watoto hao ni wacheshi, wakarimu na wanaoweza kukufanya utabasamu hata kama moyoni mwako, ulikuwa na huzuni. Wiki hii walifanyiwa mahojiano na Gazeti la Mwananchi na kufunguka mengi kuhusu maisha yao pamoja na ishu yao…