Cynthia Rothrock kaongeza list ya Mastaa wa Dunia waliotembelea Tanzania

mastaa wanaotembelea Tanzania imezidi kuongezeka licha ya wengi wao kutoweka wazi ujio na location wanapokuwa Tanzania lakini hii imekuwa tofauti baada ya mkongwe wa Filamu za mapigano Cynthia Rothrock ‘Lady Dragon’ kuamua kuweka wazi location na kusema yupo Visiwani Zanzibar. Cynthia Rothrock ni mwigizaji aliyetamba sana na movie za mapigano kabla ya kutua Tanzania alipitia Kenya…

JAY-Z Kafunguka kuhusu beef na Future na Kanye West,Kuchukiwa kwa TIDAL,Kuacha kufanya video za Muziki

JAY-Z>Kuhusu beef Na Future>Sina tatizo na Future,Sina sababu ya kumwaibisha,Yale ni mambo ya Rap Tu,Ni mambo Nyeti ya Rap JAY-Z>Kuhusu kufanya video za Muziki>Sifanyi Video za Muziki,Nafanya makala,Nataka video zangu zionyeshe nachosema kwenye Wimbo,Kama Cartoon ya O.J Stori JAY-Z>Kuhusu nyimbo na album kwenye chati za billboard>Sio muhimu billboard kuweka album zangu,Bora album Imenunuliwa,Imewafikia watu,Pesa imeingia,watu…

Ujumbe mkali wa Diamond Platnumz kwa wanaomuandama Zari kuhusu Msiba wa Mama Yake

Diamond Platnumz ametoa kauli ya kwanza baada ya mama watoto wake ‘Zari The Boss Lady’ kuandamwa sana IG Kuhusu kutoonyesha uzuni,majonzi kwenye msiba wa mama yake, kusahau mapema sana msiba na kuendelea kula bata. Ujumbe mkali wa Diamond Platnumz kwa wanaomuandama Zari kuhusu Msiba wa Mama Yake Ulisema… “Kuna vichupi kunuka wanajifanya wanajua sana uchungu wa Misiba ya watu…. Mtoto…

Jada Pinkett;Ndoa yangu imedumu kwa miaka 20 kutokana na…

Mke wa mwigizaji Will Smith ,Jada Pinkett Smith amefunguka kuhusu ndoa yake kufikisha miaka 20, mnamo december mwaka huu nakusema urafiki na mume wake umesaidia kudumisha ndoa yao. Jada anasema hakuna kitu kigumu kama maisha ya ndoa ila urafiki na Will Smith umesaidi kumudu matatizo yetu. Jada yuko kwenye ziara ya vyombo vya habari akitangaza filamu yake mpya Girls Trip 

IDRIS SULTAN AZIDI KUNG’ARA KATIKA TASNIA YA UIGIZAJI.

Aliyewahi Kuwa Mshindi Wa Big Brother Africa Ambaye Kawasasa Ni Mtangazaji Wa Kituo Kimoja Cha Radio Nchini Tanzania Idris Sultan,Moja Kati Ya Kijana Ambaye Ameweza Kuwavutia Wengi Kutokuogopa Kujaribu Katika Mambo Mbali Mbali Licha Ya Baadhi Kufurahia Na Wengine Kuchukia Lakini Ucheshi Wake Pamoja Na Kujituma Kwake Ndio Nguzo Kuu Zaidi Ambayo Inamfanya Kijana Huyu…