Salah avunja rekodi ya dau la usajili Liverpool

Liverpool wamekamilisha dili la usajili winga Mohamed Salah, kutoka As Roma ya Italia, kwa dau la Pauni million 39. Usajili wa winga huyu umevunja rekodi ya usajili kwa wachezaji waliowahi sajiliwa na timu hiyo ambapo usajili wa gharama zaidi ulikuwa wa mshambuliaji Andy Carrol, aliposajiliwa kwa dau la pauni milioni 35 mwaka 2011. Salah raia…

Habari mbili kubwa zilizoruka kwenye Televisheni Usiku wa leo June 22, 2017

Leo June 22, 2017 pamoja na story nyingi ambazo zimeripotiwa na Televisheni mbalimbali za Tanzania nimekusogezea hizi mbili kubwa zilizosomwa kwenye Taarifa ya Habari ya Channel Ten… Oparation ya TRA, Yafunga maduka ya wafanya biashara Kariakoo DSM Mamlaka ya Mapato Tanzania TRA imeendesha oparationi ya kuwafungia wafanyabiashara wa Kariakoo DSM ambao wameshindwa kutii maagizo ya kufika ofisini kwao pindi…