BREAKING NEWZ: Mama mzazi wa mpenzi wa Diamond, Zari the boss amefariki

Mama mzazi wa Zari The Boss Lady ambaye ni mpenzi na mzazi mwenza wa mwimbaji wa Bongofleva Diamond Platnumz amefariki dunia asubuhi hii baada ya kuumwa. Kupitia Instagram yake asubuhi hii Zari amethibitisha kifo cha mama yake akiandika>>> ”Kwa huzuni kubwa mimi na familia yangu tunatangaza kifo cha mama yetu mpendwa aliyefariki asubuhi hii. Roho yake ilazwe pema, Allah…

Safari ya Rihanna Uganda na Malawi

Rihanna alitembelea shule nchini Malawi kujifunza kuhusu changamoto za elimu zinazokabili wanafunzi huko. Mbali na kuimba baadhi ya muziki maarufu zaidi duniani, Rihanna pia ni mtu wa kibinadamu na mwanzilishi wa Clara Lionel Foundation, ambayo imeungana na Ushirikiano wa Kimataifa wa Elimu ili kuhamasisha kuboresha upatikanaji wa elimu kwa baadhi ya Wanafunzi masikini zaidi duniani.…

BREAKING: Tetemeko jingine latokea kanda ya ziwa

Ni habari za leo May 25 2017 mchana kutokea upande wa kanda ya ziwa ambako bado Wakazi wa eneo hilo hawajasahau tetemeko lililogharimu maisha ya watu na mali zao kwa upande wa Kagera. Habari ya leo ni kwamba tetemeko limeripotiwa kutokea hukohuko Kanda ya ziwa kwenye maeneo ya Mwanza na Geita lakini hakuna madhara yaliyoripotiwa…

MSIBA: Dogo Mfaume wa ‘kazi ya dukani’ amefariki

Kama sikio lako huzitegea sana nyimbo za bongofleva basi na ‘kazi ya dukani’ inaweza kuwa moja ya zile unazozijua…. na ni ngoma ambayo ilifanywa na Msanii aitwae Dogo Mfaume ambaye leo tumepokea taarifa za kifo cha Mfaume kutoka Muhimbili Hospital. Mmiliki wa Sobber House alikokua akisaidiwa ili kuachana na utumiaji wa dawa za kulevya amesema…