Rais Magufuli ;- “Hakuna mwenye mimba atakayerudi shuleni”

Leo June 22, 2017 Rais Magufuli amekamilisha ziara yake ya kikazi siku tatu katika Mkoa wa Pwani ambako mbali na shughuli nyingine, amezindua kiwanda cha vinywaji baridi cha Sayona Drink Ltd kabla ya kuzindua kiwanda cha kukausha matunda cha Elven Agric Company na kumaliza kwa kuzindua mradi wa barabara ya Bagamoyo – Msata. Miongoni mwa mambo aliyoyazungumza kwenye Hotuba yake ni pamoja…

Safari ya Rihanna Uganda na Malawi

Rihanna alitembelea shule nchini Malawi kujifunza kuhusu changamoto za elimu zinazokabili wanafunzi huko. Mbali na kuimba baadhi ya muziki maarufu zaidi duniani, Rihanna pia ni mtu wa kibinadamu na mwanzilishi wa Clara Lionel Foundation, ambayo imeungana na Ushirikiano wa Kimataifa wa Elimu ili kuhamasisha kuboresha upatikanaji wa elimu kwa baadhi ya Wanafunzi masikini zaidi duniani.…

Waziri wa afya Ummy Mwalimu kuhusu msiba wa watu 32

Wakati Tanzania ikiomboleza vifo vya watu 32 wakiwemo wanafunzi 29 waliopata ajali ya gari mkoani Arusha May 6, 2017  Wizara ya Afya, ustawi wa jamii, jinsia, wazee na watoto kupitia Waziri wake Ummy Mwalimu imetoa salamu za rambirambi. Waziri Ummy amesema>>>’Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto imepokea kwa huzuni na masikitiko makubwa taarifa…

Miili ya wanafunzi 32 kuagwa leo Arusha

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan nayeye amewaaga watoto wale walio fariki kwa ajali, Arusha ambapo leo ataongoza wananchi wa mkoa wa Arusha na mikoa ya jirani katika kuaga miili ya wanafunzi 32,walimu Wawili pamoja na dereva Mmoja wa shule ya Lucky Visent iliyopo Jijini Arusha waliopata ajali tarehe…