TUUNGANE SOTE KATIKA KUTOKOMEZA NDOA NA MIMBA ZA UTOTONI

Hakika kila mmoja wetu anaumia pale anaposikia au kuona msichana mdogo na akiwa mwanafunzi anaolewa au kupata mimba nakupoteza hakizote za msingi kama mtoto hasa ya elimu Nijukumu letu sasa kupiga vita swala hili… wewe Baba, Mama, Mlezi, Kaka, dada tambua huruma juu ya watoto wadogo nihaki yao kwako Wewe msichana kua makini katika kuyaanza…

Upasuaji wa kupandikiza kichwa unatarajiwa kufanyika kwa mara ya kwanza mwaka 2017

December 2017 inatarajiwa kuwa siku ya kihistoria kwenye sekta ya afya na tiba duniani ambapo utafanyika upasuaji wa kupandikiza kichwa kwa mara ya kwanza utakaofanyika mjini London ikihusisha madaktari 150 na itachukua zaidi ya saa 34. Kwa mujibu wa Daktari atakayeongoza upasuaji huo Dr. Sergio Canavero, upasuaji huo utafanyika kwa mara ya kwanza kwa binadamu ambapo…