Ujumbe mkali wa Diamond Platnumz kwa wanaomuandama Zari kuhusu Msiba wa Mama Yake

Diamond Platnumz ametoa kauli ya kwanza baada ya mama watoto wake ‘Zari The Boss Lady’ kuandamwa sana IG Kuhusu kutoonyesha uzuni,majonzi kwenye msiba wa mama yake, kusahau mapema sana msiba na kuendelea kula bata.


Ujumbe mkali wa Diamond Platnumz kwa wanaomuandama Zari kuhusu Msiba wa Mama Yake Ulisema…

“Kuna vichupi kunuka wanajifanya wanajua sana uchungu wa Misiba ya watu…. Mtoto wa watu katoka katika matatizo mfululizo, anatakiwa apelekwe sehem tulivu apetiwepetiwe apate faraja!…sasa kama nyie hamna mabwana wa kuwafanyia hayo, Msijifanye ni Tamaduni na kulazimisha kila mtu awe kama nyie, eti kutwa nzima ajifungie chumbani kulia… Pambaneni na Mahusiano yenu…! Nina siku 5 za kumpetipeti… leo ndio kwanza Ya kwanza 😛“

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s