Teknolojia mpya katika sekta ya Ujenzi

Katika kuunga mkono juhudi za Serikali kuleta maendeleo kwa wananchi kampuni ya magari ya Mantrack Tanzania imeendesha warsha fupi kwa lengo la kutambulisha vifaa na teknolojia mpya itakayoongeza ufanisi wa kazi hasa katika sekta ya ujenzi.


Akizungumza na waandishi wa habari, Mwakilishi wa Mantrack Tanzania alisema wana lengo la kuendana na kasi ya Serikali ya Awamu ya Tano kwa kuhakikisha Tanzania mpya inajengwa na uchumi bora kutokana na miundombinu bora.

>>>”Vifaa hivi ni imara na vinatumia teknolojia mpya ya kisasa inayosaidia utendekaji wa shughuli za ujenzi kuwa rahisi. Tumeamua kuja na kasi ya Serikali mpya ya kutenda vitu kwa urahisi na kwa ufanisi wa hali ya juu.”

Warsha hiyo imefanyika katika Karakana ya Mantrack Tanzania karibu na Jengo la Quality Plaza, Barabara ya Nyerere na kuhudhuriwa na wadau mbalimbali wa ujenzi.

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s