Jada Pinkett;Ndoa yangu imedumu kwa miaka 20 kutokana na…

Mke wa mwigizaji Will Smith ,Jada Pinkett Smith amefunguka kuhusu ndoa yake kufikisha miaka 20, mnamo december mwaka huu nakusema urafiki na mume wake umesaidia kudumisha ndoa yao.


Jada anasema hakuna kitu kigumu kama maisha ya ndoa ila urafiki na Will Smith umesaidi kumudu matatizo yetu.

Jada yuko kwenye ziara ya vyombo vya habari akitangaza filamu yake mpya Girls Trip 

Smith-let-his-wife-Jada-have-spotlight-2007.jpg

Enter a caption

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s