MAAJABU DODOMA: Mtu kazikwa, siku 3 baadae kawapigia simu ndugu

Dunia na maajabu yake ndivyo unavyoweza kusema baada ya leo July 18 2017 kupitia Leo Tena ya Clouds FM mtangazaji Geah Habib kuinasa Hekaheka iliyotokea Dodoma ambako ndugu walipata taarifa za msiba wa ndugu yao na wakathibitisha ni yeye kisha wakamzika lakini siku 3 baadae Marehemu akapiga simu.

Imeelezwa kuwa kijana huyo aliyejulikana kama Seif aliuawa na kisha mwili wake kutupwa Morogoro na ndugu walipoufuatilia na kuupata walipewa kibali cha kuuzika huku wakijiridhisha kuwa ni ndugu yao lakini siku tatu baadaye walipokea simu ya kijana huyo akidai yupo hai….. bonyeza play hapa chini kusikiliza kisa kizima

Pata kuelewa zaidi kupitia video hii hapa chini

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s