IDRIS SULTAN AZIDI KUNG’ARA KATIKA TASNIA YA UIGIZAJI.

Aliyewahi Kuwa Mshindi Wa Big Brother Africa Ambaye Kawasasa Ni Mtangazaji Wa Kituo Kimoja Cha Radio Nchini Tanzania Idris Sultan,Moja Kati Ya Kijana Ambaye Ameweza Kuwavutia Wengi Kutokuogopa Kujaribu Katika Mambo Mbali Mbali Licha Ya Baadhi Kufurahia Na Wengine Kuchukia Lakini Ucheshi Wake Pamoja Na Kujituma Kwake Ndio Nguzo Kuu Zaidi Ambayo Inamfanya Kijana Huyu Azidi Kupeperusha Bendera Ya Tanzania Na Kutuacha Tukijivunia.

Idris Ambaye Aliwahi Kupenya Kwenye Vichwa Vya Habari Sana Baada Ya Kuingia Katika Mahusiano Na Wema Sepetu,Siku Chache Zilizopita Aliweka Wazi Furaha Yake Ya Kutajwa Kufanya Kazi Na Moja Ya Director Mkumbwa Huko Hollywood Marekani.

Lakini Usiku Wa Kuamkia Jana Pia Ulikuwa Mzuri Kwa Msanii Huyo Pamoja Na Mtangazaji Baada Ya Kufanikiwa Kutwaa Tunzo Mbili Kupitia Filamu Aliyocheza Karibu Kiume Ni Filamu Iliyochezwa Na Ernest Napoleon (Going Bongo), Irene Paul, Idris Sultan Na Mastaa Wengine.

iDRSIdris-na-Ernest-Napoleon

Moja Ya Filamu Ambayo Imekuja Kuonyesha Mapinduzi Katika Sanaa Ya Filamu Africa Mashariki Na Africa Kwa Ujumla.

Hivyo Usiku Wa Kuamkia Leo Ilifanyika Tamasha La Zanzibar International Film Festival Linaloambatana Na Ugawaji Wa Tuzo Maarufu Kama Zif.

Idris Na Timu Yake Wameibuka Na Ushindi Huu Wa Tuzo Mbili Katika Kipengele Cha  Best Screenplay Pamoja Na Best Director,Na Hivi Ndivyo Idris Aliweza Kuandika Kupitia Ukurasa Wake Wa Instagram

Hongera Sana Timu Ya Kiumeni Kwa Kufanikisha Hatua Hii Kwa Mara Ya Kwanza Kabisa Ikiwa Bado Safari Ni Ndefu Yakufikia Malengo Wanayotarajia.

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s