Muigizaji azungumza kuhusu ”mauaji” ya Trump

Muigizaji wa filamu Johny Depp alitishia kumuua rais wa Marekani Donald Trump wakati wa hotuba katika sherehe za Glastonbury.


Je unaweza kumleta Trump hapa? Aliwauliza mashabiki huku akizindua filamu yake ya The Libertine.

Baada ya kuzomwa na mashabiki aliongezea: Hamukuelewa kabisa ni lini muigizaji alimuua rais? Nataka kuweka wazi ,aliongezea.

”Mimi ni muigizaji. Ninadanganya ili kulipwa. ni kitambo nadhani ni wakati”.

Nyota huyo alikiri kwamba matamshi yake ambayo yanafananishwa na mauaji ya rais Abraham Lincoln yaliotekelezwa na muigizaji John Wilkes Booth 1865 yatazua hisia.

”Najua hii itakuwa katika vyombo vya habari na itatisha”,alisema.

”Ni swali tu, sikati tamaa ya mtu yeyote”.

Muigizaji huyo sio wa kwanza kusema kuhusu kumuua rais.

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s