Hutuba ya Rais Magufuli aliyo gusia suala la mimba kwa wanafunzi bado ni gumzo.

Rais Magufuli amesema kuwa chini ya uongozi wake wasichana wa shule ambao hujifungua watoto hawataruhusiwa tena kurudi shuleni,


Rais magufuli alikuwa akizungumza wakati wa mkutano wa hadhara kwenye mji wa Chalinze, takriban umbali wa kilomita 100 magharibi mwa mji mkuu Dar es Salaam.

Magufuli anasema kuwa mwanamume ambaye atapatikana na hatia ya kumpachika mimba mtoto wa shule, atafungwa jela miaka 30 na kutumia nguvu alizotumia kumpachika mimba msichana huyo, kufanya kilimo akiwa gerezani.

“Mashirika haya yasiyo ya serikali yanastahili kuenda kufungua shule kwa wazazi, lakini hayastahili kuilazimisha serikali kuwarejesha shuleni.
“Ninatoa elimu ya bure kwa wanafunzi ambao wameamua kusoma, na sasa nataka niwaelimishe wazazi,” Rais Magufuli alisema.

Nchini Tanzania kuna takriban wasichana 8,000 ambao huacha shule kila mwaka kutokana na kuwa wajawazito, kwa mujibu wa ripoti ya shirika la Human Rights Watch

 

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s