Picha 11: Inavyoonekana nyumba inayoelea baharini iliyopo Zanzibar

Zanzibar ni moja ya vituo bora vya watalii Duniani ambapo kutokana na mandhari yake ya kupendeza watalii kutoka sehemu mbalimbali wamekuwa wakimiminika Visiwani humo.

Kutokana na uhitaji wa sehemu za kufikia wageni ambazo zinavutia zaidi nimekusogezea picha 15 zinazzonesha moja ya huduma inayotolewa na boti yenye vyumba viwili vya kulala, sebule na sehemu ya kupikia ambayo  hutumia umeme wa jua na huweza kuhama kutoka sehemu moja hadi nyingine.

 

 

Advertisements