UTAFITI: Madhara unayoweza kuyapata kwa kuanika nguo ndani

Watu wengi hupenda kuanika nguo ndani baada ya kuzifua hasa pale wanapodhani kuanika nje ni hatari kwa kuhofia wizi au mvua bila kujua madhara wanayoyapata kutokana na kuanika nguo ndani.

Wanasayansi kutoka Chuo Kikuu cha New South Wales Australia wamegundua madhara yanayotokana na kuanika nguo ndani ambayo ni pamoja na kusababisha ugonjwa wa pumu na matatizo ya mapafu.

Wataalam hao wanadai kuanika nguo ndani kunasababisha bakteria ambao hushambulia mfumo wa upumuaji kujikusanya kwenye nguo mbichi iliyoanikwa ndani kuliko nguo iliyoanikwa nje kwa sababu bakteria hao hawakai nje kwenye jua.

Akizungumza na KidSport mmoja wa wataalamu hao Dr. Christine Cowie alisema bakteria wengi wanaosababisha ugonjwa wa pumu hupatikana ndani ya nyumba na hupendelea hali ya unyevunyevu hivyo mtu anapovaa nguo iliyoanikwa ndani hata ikiwa imekauka anaweza kupata ugonjwa wa pumu.

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s