TUUNGANE SOTE KATIKA KUTOKOMEZA NDOA NA MIMBA ZA UTOTONI

Hakika kila mmoja wetu anaumia pale anaposikia au kuona msichana mdogo na akiwa mwanafunzi anaolewa au kupata mimba nakupoteza hakizote za msingi kama mtoto hasa ya elimu
Nijukumu letu sasa kupiga vita swala hili… wewe Baba, Mama, Mlezi, Kaka, dada tambua huruma juu ya watoto wadogo nihaki yao kwako

Wewe msichana kua makini katika kuyaanza mahusiano na kijana mwenzako au mdogo kwako au mkubwa kwako
Jifunze kua na tamaa ya kielemu na mafanikio katika muda muafaka –

18767902_1860534414163475_6786463697225036052_nmimbaPendo-Sungu-amepata-ujauzito-akiwa-bado-mwanafunzi

Tambua wewe msichana na kijana wakiume yakwamba mnapo sababisha mimba katika wakati wa umri mdogo kuna uwezekano mkubwa wa kushindwa kuendelea kimaisha

Nimateso makubwa sana anayapata msichana anapo pata ujauzito akiwa na umri ndogo yakianzia pale anapo kosa baba ya mimba na katika kuilea mimba mpaka kuja kumpata mtoto

Nadhani inaanza kwako Baba, Mama, Dada, Kaka na msichana kua katika tahadhari kubwa juu ya hili

Vijana wenzangu Mapenzi yapo tena yapo kwa ajili ya binaadamu ila kwa muda maalumu na kujengwa na mipango mikakati yakimaisha

TUTOKOMEZE SASA TUPATE VIJANA WA MAENDELEO

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s