Wanawake Dar watumia damu ya ng’ombe kutengeneza chakula cha mifugo

Kundi moja la kina mama mjini Dar es Salaam, wakiwemo wajane na waathriwa wa Virusi vya Ukimwi, wameungana na kubuni njia ya kuvutia ya kupata riziki kupitia utengenezaji wa vyakula vya mifugo kwa kutumia damu ya ng’ombe.

Kina mama hao wameanzisha biashara hiyo kujikimu kimaisha na kujitegemea licha ya changamoto wanazopitia.

 

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s