Steve Nyerere kawajibu wanaodai kamuigiza Mbowe akimtongoza Wema

Ni wiki moja sasa tangu kuanza kusambaa sauti (voice note) inayodaiwa kuwa ya muigazaji Wema Sepetu na Mbunge wa Hai Freeman Mbowe inayoashiria kuwa wawili hao wana uhusiano wa kimapenzi lakini sasa gumzo ni kwamba wengi wanadai sauti hiyo imeigizwa na Steve Nyerere.

Ayo TV imekutana na Steve Nyerere na moja kati ya maswali aliyotolea ufafanuzi ni kuhusu madai hayo ya kuhusika kutengeneza sauti hizo akimuigiza Mbowe.

Pata ufafanuzi zaidi katika video hapa chini.

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s