
Wanafunzi wengi walifanya maonyesho katika mashindano hayo katika uwanja wa Marius Ndaye ambao hutumiwa kwa mchezo wa kikapu.

Roboti yaonesha jinsi inaweza kutenda mambo.

Hafla hii imeandaliwa na serikali ya Senegal ili kuwapa vijana motisha ya kusomea sayansi..

Roboti ilioshinda katika mashindano hayo kwa kuonyesha uwezo mkubwa wa uelewa na kasi ya kufanya kazi.
Advertisements