Peter Msechu naye kugombea Ubunge 2020

Joseph Mbilinyi ‘Sugu’, Joseph Haule ‘Professor Jay’ na Vicky Kamata kwa kuwataja wachache ni miongoni mwa mastaa wa muziki ambao wameamua kuhamishia makali yao kwenye siasa ambapo sasa wote ni Wabunge lakini wapo wasanii wengine wenye nia hiyo?

Nasasa mmoja wa mastaa wa Bongofleva Peter Msechu ambaye hakusita kuweka wazi nia yake ya kutaka kugombea Ubunge Kigoma kwenye Uchaguzi Mkuu 2020…nini hasa kilichomsukuma kufikiria Ubunge?

Anafafanua kwenye VIDEO hapa chini ambayo unaweza kuitazama kwa kubonyeza PLAY…

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s