Picha,alivyoagwa Ivan Ssemwanga, aliyekuwa mume na baba watoto watatu wa Zari…..

May 29,2017 imekuwa siku ya majonzi baada ya familia na ndugu wa Ivan Ssemwanga , aliyekuwa mume wa Zari kupata nafasi ya kumfanyia ibada na kumuaga ndugu yao kanisani, nchini Uganda.

Ivan alifariki wiki iliyopita Pretoria, Afrika Kusini 

Kwenye Instagram ya Zari palikuwa na picha za Ibada hio na maneni ‘I gat you’ akimaanisha ‘nipo nanyi’ kwa watoto wake.

Advertisements