Star wa filamu za James Bond ‘Sir Roger Moore’ amefariki dunia….

Wapenzi wa filamu za James Bond wako kwenye masikitiko baada ya taarifa za kifo cha mwigizaji maarufu sana duniani aliyewahi kuigiza filamu za James Bond ‘Sir Roger Moore’ aliyefariki leo May,23 2017 akiwa nchini Switzerland.

Sir Roger Moore aliigiza kwenye filamu 7 za James Bond toka mwaka 1973 kwenye filamu kama “Live and Let Die.” a filamu yake ya mwisho ya 007 ilikuwa “A View to a Kill” mwaka 1985.

1b5581298e2113547047d906f70bae15quantum-of-solace-poster-slice

Roger aliwahi kuugua saratani na aliwahi kuwa balozi wa UNICEF, Roder atazikwa Monaco.

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s