VIDEO: Mama asimulia mwanae alivyopata ugonjwa na kuanza kunywa mafuta

Mama mzazi wa mtoto Shukuru Kisonga ambaye anaishi kwa kunywa mafuta amesema amemuuguza mtoto huyo kwa miaka 16 akiwa anabadilika rangi ya mwili kila anapokosa mafuta ya kula au sukari akimpeleka sehemu tofauti kutafuta tiba wakiwemo waganga wa kienyeji.

Shukuru mwanafunzi wa Kidato cha Pili alifikishwa Hospitali ya Taifa Muhimbili kwa ajili ya matibabu ambako baada ya kufanyiwa uchunguzi ameanza matibabu na hali yake ikianza kuwa nzuri akiacha kutumia mafuta na kunywa uji jambo linalomfurahisha mama yake.

Mama Shukuru ameeleza mengi ambayo unaweza kubonyeza play hapa chini kutazama hii video ili kujua zaidi!!!

Bofya PLAY kuangalia video kupita Ayo TV

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s