KALI KULIKO: Kituko kingine cha Mourinho…mkutano sekunde 10?

Mourinho alitakiwa kukutana na waandishi wa Habari kufuatia ushindi wa Manchester United wa mabao 2-0 dhidi ya Crystal Palace katika mchezo wa mwisho wa msimu wa EPL 2016-2017 uliopigwa Old Trafford.

Baada ya kuingia kwenye mkutano huo ambao pia haukuwa na watu wengi hakuna mtu ambaye aliuliza swali lolote hivyo Mourinho akasema: “Kwa herini”  kisha akaondoka.

Awali akifanya interview na Televisheni ya Klabu ‘MUTV’ Mourinho alisema: “Msiniulize mambo mengi kwa sababu najua niko kwenye fainali.”

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s