Dogo Janja asema Ben Pol ni shujaa kwa kupiga picha hii na kuiPOST….

Dogo Janja ameibuka na kusema kuwa kitendo alichokifanya Ben Pol cha kupiga picha akiwa MTUPU ni kitendo cha KISHUJA sana kwani wengi hata yeye asingeweza kufanya jambo hilo…..

Dogo Janja amesema kwneye #5Selekt “Labda brother alijiuliza akivaaje atapendeza akaamua asivae kitu tu mbona freshi, lakini mimi sidhani kama nitaweza kufanya jambo kama lile kuwaonyesha watu ‘Too much’ hapana aisee, vitu kama vile vinaishi milele, unaweza kufanya leo ukapata maslahi lakini kesho kikawa na athari katika maisha yako“

Mpaka sasa haifahamiki ni wimbo gani kutoka kwa Ben Pol utaelezea stori ya picha hii…..

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s