Gumzo lingine ni anayedai kuongea na Mungu

Headlines za mti uliodaiwa kuwa wa maajabu Mwanza bado zingali zinatrend kwenye mitandao mbalimbali ya kijamii hasa baada ya mti huo kudaiwa kuwa umewahi kuongea na kugoma kukatwa ingawa tayari umeshakatwa.

New story leo May 17, 2017 kuhusu mti huo ni mtu ambaye anadai kuwa huwa anawasiliana na Mungu na kumpa uwezo wa kutibu magonjwa mbalimbali huku akidai kuna vitu ameviona kwenye hilo tukio.

Ayo TV imekutana na mtu huyo ambaye ameamua kufunguka kila katika video hii ambayo unaweza kutazama kwa kubonyeza PLAY…

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s