Picha 3;- model wa Play Boy aliyepiga picha mtupu juu ya mlima takatifu,wanakijiji wakasirishwa….

Mwanamitindo wa jarida la Playboy Jaylene Cook, menye mashabiki 300,000, amepiga picha akiwa mtupu juu ya mlima Taranaki nchini New Zealand kitendo kilichokera raia wengi wa eneo hilo.

Jamii ya Maori inayoishi eneo hilo imesema kitendo hicho ni kosa kubwa sana na kimeenda kinyume na tamaduni za eneo hilo.

Kilele cha mlima Taranaki ni eneo takatifu kwa jamii ya Maori “Ni kwa mfano mtu kuenda katika makao ya Vatican na kupiga picha ya utupu.” msemaji wa jamii ya maori alisema….

Jaylene Cook anatokea nchini New Zealand, na alipost picha hio akiwa umbali kwenda juu wa mita 2,518 kileleni.

nintchdbpict000321134476-768x768nintchdbpict000321134917-768x930nintchdbpict000321135459-768x768

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s