Mastaa wa Bongo wamekuja pamoja katika kutoa salamu za pole kufuatia msiba wa wanafunzi (29),walimu (2) na dereva (1) katika ajali iliyotokea Arusha.

Mastaa wa Bongo wamekuja pamoja katika kutoa salamu za pole kufuatia msiba wa wanafunzi (29), walimu (2) na dereva (1) katika ajali iliyotokea jana Jijini Arusha.

Wanafunzi hao walikuwa wakisafiri na busi aina ya costa wakitoka shule ya Lucky Vincent ya Arusha ambapo walikuwa wakienda kufanya mtihani wa kujipima uwezo na wanafunzi wa shule ya Tumaini Junior School iliyopo Karatu.

Mimi Mars “Nawaombea nguvu familia, jamaa, walimu na marafiki wote waliopatwa na msiba huu, Mungu awapumzishe kwa amani malaika hawa” 

 

Vanessa Mdee ameandika “Ni huzuni mkubwa kuamka na kupata taarifa ya ajali iliyochukua roho za ndugu zetu huko Karatu..Mungu awape nguvu wanafamilia katika kipindi hichi kigumu. Mungu ndio mpangaji na tunaomba alaze roho za ndugu zetu waliopoteza maisha yao kwa ajali leo huko karatu“…

 

JUX Ameandika “Msiba mkubwa sana, Mungu wapumzishe malaika hawa pema peponi, wape nguvu familia, ndugu, marafiki,walimu na wanafunzi wenzao kwenye kipindi hiki kigumu dah mungu tusaidie. R.I.P“

Belle 9 “Moment of Silence 06/05/2017 #RIP” 

 

Ben Pol “What a sad day,  Ee Mungu tunaomba uwapokee malaika hawa, pia uwatie nguvu familia, ndugu, jamaa, walimu, wanafunzi wenzao wa Lucky Vincent School na wote walioguswa na msiba huu, hakika ni kipindi kigumu, dah inasikitisha sana, mungu tusaidie” 

 

Bright “Inanlillah wainnaillaih rajiuun hakika hakuna anaeijua Kesho yake, pumzikeni kwa amani vipenzi wetu” 

 

Jokate “Tunatoa pole kwa Mkuu Wa Mkoa Wa Arusha, Ndugu yetu Mhe. Mrisho Gambo na ndugu/jamaa/walimu wa wanafunzi waliofariki katika ajali iliyotokea leo na kwa msiba huu mkubwa sana. Natoa rai tuwakumbuke wana familia wa hawa watoto kwenye sala zetu waweze kuwa na amani katika kipindi hiki kigumu wanachopitia. Roho za hawa malaika zipate pumziko la milele, Amina“

 

Aika (Navy Kenzo) “Inauma sana, God we pray u give their parents and families the strength to pass thru this. Poleni sana ndugu. R.I.P dear kiddos” 

 

Saimon Msuva “Vijana Wetu Waliopoteza Maisha Leo Kabla Ya Safari Yao, Poleni Wazazi Wote, Naijua Hali Mliyonayo Kama Kaka, Mwenyezi Mungu Awape Nguvu Na Subira Katika Kipindi Hiki Kigumu, Poleni Walimu Wa Shule Husika, Poleni Wanafunzi Wote Kwa Kupoteza Wenzenu, Mungu Awafariji Nyote” 

 

Rosa Ree “Mungu aziweke mahali pema roho za wanafunzi waliotuacha leo… Mola Ametoa na Mola Ametwaa” 

 

Dulla Planet wa Planet Bongo “Allah Awape Pumziko Jema.. Inashtua sana Wamekufa na Ndoto zao, Msiba Mzito huu Poleni Ndugu na Jamaa Wote” 

Nay Wa Mitego Wanasema Hakuna aijuae Kesho yake. Mungu azilaze Roho za Marehemu Mahara pema. Pole kwa Familia zote zilizo patwa na Msiba hu

 

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s