Kabla ya kuwa na Michelle, Barack Obama alikuwa na mahusiano ya kimapenzi na mabinti wa kizungu tu…..

Kabla Rais Barack Obama hajakutana na mke wake Michelle Obama, alikuwa akitoka na wanawake wazungu tu na mwanamke wa kwanza mweusi kwenye maisha yake alikuwa mke wake.

Hii ni kwa mujibu wa kitabu cha Christopher Andersen, kilichopewa jina Barack and Michelle: Portrait of an American Marriage, kilichotoka hivi karibuni.

Kitabu kingine cha maisha ya Barack Obama kinachoitwa Rising Star: The Making of Barack Obama kinasema rais huyu alitaka kufunga ndoa na wanawake wawili kabla ya kukubaliwa na Michelle.

Andersen anasema Barack Obama alikuwa na ndoto ya kuwa mwanasiasa mkubwa Marekani na alijua umuhimu wa kuwa na mke mweusi, mapenzi ya Barack na Michelle ni yaukweli“..

Kitabu cha Andersen kimetokea kupendwa na wengi.

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s