HarmoRapa atangaza ujio wa wimbo mpya,adai utazima nyimbo za wasanii Afrika…

Harmo Rapa ametanganza ujio wa wimbo wake mpya akidai wimbo huo utazima nyimbo za wasanii wengi Afrika nzima….

Kwenye IG Yake msanii huyu Ameandika hivi..

Mashabiki wangu nawaletea Bomu litakalo sambalatisha ngoma za wasanii wote Africa naposema Bomu simaanishi kabomu ka mkono ka mh #trump hapana namaanisha Bomu LA nyuklia la kiduku linalo milikiwa na kolea kusin so nawakanya na wasanii wote Africa walioficha vinyimbo vyao ndani wavitoe haraka sasa hivi kabla Mimi sijaachia Bomu langu kwani nikiachia hamto sikika

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s