Will Smith kuigiza kama HitMan kwenye filamu mpya,Gemini Man.

Mwigizaji Will Smith yupo kwenye mazungumzo ya kusajiliwa kuigiza kama adui na HitMan kwenye filamu mpya ya Gemini Man.

Filamu hii itaongozwa na mshindi wa tuzo ya Oscar Ang Lee aliyetauarisha filamu kama Crouching Tiger, Hidden Dragon na Brokeback Mountain.

Jerry Bruckheimer aliyeongoza filamu kama Bad Boys na Enemy of the State za Will Smith naye pia atahusika kwenye filamu hii.

Gemini Man ni filamu inayohusu muuwaji atakaye pambana na muwaji mwingine wa kizazi kipya.

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s