VIDEO: Kampuni ya kitanzania itakayozalisha vifaa vya michezo kama Nike

Inawezekana Tanzania ikaingia kwenye headlines mpya kutokana na vijana wa kitanzania kuamua kuanzisha kampuni ya kutengeneza vifaa vya michezo kama ilivyo kwa kampuni za nje za Puma, Nike, Adidas, Umbro, Macron na nyinginezo ambazo zimekuwa zikitengeneza jezi na vifaa vya timu mbalimbali.

Kampuni ya Speshos Sport Bongo ambayo ipo chini ya umiliki ya Jeffrey Speshos, Ramadhani Munga, Jeff Lea, Muddy Sebene, Ally Kilingo na Charles Mungi ipo katika mazungumzo na vilabu vitano vya Ligi Kuu ili kuanza kuvipatia bidhaa za kampuni hiyo kuanzia msumu ujao,

Msikilize mmoja wa mmiliki wa kampuni hiyo Jeffrey Speshos katika exclusive interview na Ayo TV akizungumzi project zao.

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s