VIDEO: Hatua iliyofikiwa na Dangote Cement na TPDC kuhusu gesi asilia

Agizo la Rais Magufuli, kutaka Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania ‘TPDC’ kukamilisha makubaliano na kampuni ya Dangote Industries juu ya bei ya mauziano ya gesi asilia kwa ajili ya matumizi ya kiwanda hicho cha kutengeneza saruji kilichopo Mtwara limetekelezwa.

Leo April 20, 2017, Kaimu Mkurugenzi TPDC, Kapuulya Musomba ameeleza hatua iliyofikiwa mpaka sasa baada makubaliano juu ya kuunganishwa miundombinu ya kusafirisha gesi asilia kutoka kwenye bomba kubwa kwenda kwenye kiwanda cha Dangote pamoja na kinachoendelea kwa sasa.

“Mheshimiwa Rais alitoa maelekezo kusema kwamba mkubaliane na Dangote kwa ajili ya kuuziana gesi. Na katika muda aliokuwa ametoa, tuliweza kukubaliana kwa ajili ya namna ya kuuziana gesi na Dangote.” – Kapuulya Musomba.

Ufafanuzi zaidi juu ya makubaliano hayo, bonyeza play kwenye hii video hapa chini kutazama

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s