Mkasa wa mwizi aliyeiba kisha kulala mahali alipoiba

Leo Tena ya April 20, 2017 imetufikishia HEKA HEKA iliyotokea Buguruni jijini Dar es Salaam ambapo mtu mmoja anayedaiwa kuwa mwizi baada ya kuingia nyumbani kwa mtu kwa lengo la kufanya uhalifu na kulala mpaka asubuhi. Mtu huyo alijikuta akishindwa kuondoka ndani humo baada ya kuiba na kujikuta akilala usingizi mpaka pale alipokutwa na mwenye nyumba kisha kupelekwa Polisi huku ikidaiwa kuwepo kwa matukio ya wizi katika nyumba hiyo, hivyo kumfanya mwenye nyumba ambaye ni mgeni katika maeneo hayo kutafuta suluhisho la tatizo hilo ambalo limekuwa kero kwake na wakazi wengine. Mtangazaji Geah Habibu amepiga story na mwenye nyumba hiyo ambaye alikiri kuwa jambo hilo lingetokea na amesema sababu iliyomfanya mwizi huyo kulala usingizi baada ya kuiba na kushindwa kutoka.

Bonyeza Play hapa chini kusikiliza Full story….

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s