Mambo 5 ambayo hutakiwi yakupite

Najua nina watu wangu ambapo hawako nyuma kufuatilia kila kinachoendelea katika ulimwengu huu ambao umejaa mambo mengi na mengine mapya yakiibuka kila siku ambapo kwa kutambua hilo, leo April 20, 2017 nimekusogezea mambo matano ambayo pengine hukuyafahamu.

Unaambiwa idadi ya kuku waliopo duniani, inazidi idadi ya watu wote walio hai mpaka muda huu.

C92Hid5XsAAUo8A

Utafiti kuhusu usalama barabarani umeonesha wanawake wanaongoza kwa kutoa kauli mbovu wanapoendesha magari kuliko wanaume

C92JOewXgAAi2ba

Idadi ya kuku waliopo duniani, inazidi idadi ya watu wote walio hai mpaka muda huu.

C92qg2XXYAAmeMX

Kila binadamu anahitaji kupata si chini ya Mabusu matatu kila siku, tafiti zinasema tendo hilo huchangia kuongeza muda wa kuishi

C92tFXZWAAU9nbz

Kusinzia wakati mchana hata kwa dakika chache tu husaidia kujenga kumbukumbu zako na kuondoa hatari ya kupata ugonjwa wa moyo

 

C92xYo1XgAAv_Hs

Utafiti kuhusu usalama barabarani umeonesha wanawake wanaongoza kwa kutoa kauli mbovu wanapoendesha magari kuliko wanaume

 

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s