Je Wajua?: Promoter adaiwa kuwatapeli mastaa wa Bongo Visiwani Z’bar

U heard ya April 20, 2017 kupitia XXL ya Clouds FM mtangazaji Soudy Brown amekuja na issue inayowahusisha mastaa wa Bongofleva Nay wa Mitego, TID, Juma Nature  na Baby J ambao wanadaiwa kukwama Visiwani Zanzibar.

Mastaa hao wanadaiwa kukwama Visiwani humo baada ya kumshtaki promoter ambaye aliwapeleka kufanya show lakini hakuwalipa ambapo ili kujua ukweli, Soudy amepiga story na Baby J pamoja na Promoter Sebastian na walikuwa na haya>>>

“Ninayomdai mimi ni siri yangu, siwezi kuongea, ila ni hela ndefu. Tulikuwa na mkataba na tulipata hela yetu nusu, nyingine ilikuwa baada ya kumaliza kazi, lakini haikuwa hivyo. Asili ya promoter ni mkenya.” – Baby J.

“Ni kweli tamasha lilifanikiwa vizuri na wasanii wote walipewa nusu kuanzia jana. Hela zinatafutwa na ambazo zinapatikana wanalipwa mmoja baada ya mwingine. Hizo taarifa za kuzuiliwa, mimi na serikali kuondoka Zanzibar ni tamko la uwongo.” – Promoter Sebastian.

Bonyeza hapa kusikiliza Ayo TV

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s