AUDIO: Majibu ya Harmorapa baada ya kuibua mjadala, kisa Kiingereza

April 19 2017 ulizuka utani kwenye mitandao ya kijamii baada ya staa wa Bongo fleva Harmorapa ‘Kiboko ya Mabishoo’ kuchapia lugha ya Kiingereza baada ya kuulizwa swali na shabiki yake kuwa yeye ni mwanaume wa aina gani.

Kutokana na kuulizwa hivyo Harmorapa alijibu kwa kusema: “Mim ni strong woman” kitu ambacho kilianza kuwa gumzo kwenye mitandao.

Sasa leo April 20 2017 Harmorapa alipokutana na Millard Ayo kuzungumzia sakata hilo na majibu yake ni haya hapa

Bonyeza Play hapa Ayo Tv

 

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s