VIDEO: Staa wa Bongofleva Belle 9 amefiwa na baba yake

Kupitia Ayo TV  tumezipokea kwa masikitiko makubwa taarifa za kifo cha baba mzazi wa staa wa Bongo fleva Belle 9 mzee Damian Nyamoga aliyefariki kwa ajali ya pikipiki.

Taarifa ilizozipata The Clever Chamber kupitia Ayo TV kutoka kwa rafiki wa karibu wa Belle 9, Lulu Diva, mzee Nyamoga amefariki usiku wa kuamkia leo akiwa katika Hospital alikowahishwa kwa ajili ya matibabu baada ya kugongwa na pikipiki wakati anavuka barabara.

Clever Chambers team inatoa pole kwa familia ya Belle 9 na Mungu awape moyo wa subira katika kipindi hiki kigumu.

Bwana ametoa, na Bwana ametwaa…

Bonyeza play kutazama…

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s