April 18, 2017 Mkutano wa bunge umeendelea tena Dodoma ambapo katika kipindi cha maswali na majibu moja ya Wizara iliyopata nafasi ya kujibu maswali kwa niaba ya serikali ni pamoja na Wizara ya Ofisi ya Makamu wa Rais-Muungano na Mazingira na kazi hiyo ilifanywa na Naibu Waziri Luhaga Mpina.
Advertisements