Ushauri wa Bill Nass kwa Roma Mkatoliki na wenzake

Kupitia kipindi cha The Weekend Chart Show April 14, 2017 kinachorushwa na Clouds TV rapa Bill Nass ambaye anatamba na hit song ya Mazoea amemuasa Roma Mkatoliki na wenzie ambao walikumbwa na mkasa wa kutekwa.

Bill Nass amewataka Roma na wenzie kuendelea na maisha kwa kufanya kazi ingawa hawatokuwa vizuri lakini kwa sababu wana uhai na uzima katika maisha yao wanapaswa kumshukuru Mungu.

>>”Wanapaswa kumshukuru Mungu kwa kuwa wako hai. Wendelee kufanya kazi kwa moyo, japo unapokuwa na pressure huwezi kufanya. Kwa mfano, mimi tu nikiwa hivyo mood za studio zinakata. Japo wao wanaweza kuwa zaidi ya hapo, ila hizo ni changamoto tu, so, isiwafanye wakaishia hapo as long as wako hai na wazima.” – Billnass.

 

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s