Maamuzi ya Kagera Sugar baada ya kupokonywa point 3

Siku moja baada ya Kamati ya saa 72 kupitia Mwenyekiti wake Hamadi Yahaya kutangaza kuwa Simba imeshinda rufaa yake dhidi ya Kagera Sugar ambayo ilimchezesha Mohamed Fakhi akiwa na kadi tatu za njano, Kagera Sugar wameandika barua ya kuomba shauri lao lisikilizwe tena.

Kagera Sugar imefikia maamuzi hayo baada ya kujiridhisha kuwa mchezaji wao Mohamed Fakhi hana kadi tatu za njano kama ambavyo  wameadhibiwa na kupokonywa point na bodi ya Ligi, hivyo wanaomba lipitiwe upya shauri lao na kuhakikisha haki inatendeka.

Kama utakuwa unakumbuka Simba na Kagera Sugar zilicheza game April 2 2017 katika uwanja wa Kaitaba Bukoba na Simba ikapoteza kwa kufungwa magoli 2-1, ila baada ya hapo walikata rufaa kwa kuituhumu Kagera Sugar kumchezesha mchezaji Mohamed Fakhi akiwa na kadi tatu kinyume na taratibu.

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s