Alichokizungumza JPM wakati wa uzinduzi wa hostel UDSM

Leo April 15, 2017 Rais Magufuli amezindua hostel za wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam ‘UDSM’ baada ya kukamilika ujenzi wake ambapo hostel hizo zitakuwa na uwezo wa kuchukua wanafunzi 3,840 kwa wakati mmoja.

September 6, 2016 Rais Magufuli alifanya ukaguzi wa hostel hizo ambazo zimejengwa na Wakala wa Majengo nchini TBA katika Chuo Kikuu cha Dar es Salaam.

Adui wa mwenzako sio adui yako wewe, waache waendelea na uadui wao, wale wote wawe rafiki zako, lengo kubwa ni Tanzania kwanza’-JPM

‘Kuna watu walizoea maisha ya ajabu, ninyi hamyajui, mimi nayajua, mniache nishughulike nao hao’-JPM

‘Watu walikuwa wanafanya kufuru na fedha za watanzania, hizo kufuru ndio nimezifunga’-JPM

‘Siku tu nilipomteua Prof. Mkumbo alienda kwa @hpolepole kwenda kuangalia ilani ya uchaguzi mahali panapohusu maji ili akatekeleze’-JPM

‘Nilitamani mbunge wa hapa awepo leo asimame aniombe chochote nami ningetoa lakini inawezekani shida hizi hazifahamu-JPM

‘Uongozi wa chuo angalieni uwezekano wa kutafuta mabasi hata matano tuwasaidie hawa wanafunzi’-JPM

 

Bonyeza Play kuangalia video kupitia Ayo Tv

 

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s