VIDEO: Kutoka Makao Makuu ya Yanga baada ya Simba kupewa point 3

Siku moja baada ya Kamati ya saa 72 kupitia Mwenyekiti wake Hamadi Yahayakutangaza kuwa Simba imeshinda rufaa yake dhidi ya Kagera Sugar ambayo ilimchezesha Mohamed Fakhi akiwa na kadi tatu za njano, leo Yanga wamefanya mkutano na waandishi wa habari.

Yanga wamefanya mkutano na waandishi wa habari kupitia mjumbe wao wa Kamati ya Utendaji Salum Mkemi na kueleza kutoridhishwa na maamuzi ya Kamati hiyo, hivyo wameeleza msimamo wao kwa sasa baada ya Simba kupewa point tatu na magoli mawili.

Kutokana na maamuzi hayo Yanga wamekumbushia rufaa yao dhidi ya African Lyon ya kumchezesha mchezaji Ludovic Venance akiwa bado anatambulika kama mchezaji wa Mbao FC ya Mwanza, rufaa ambayo bado haijatolewa maamuzi hadi sasa.

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s