Je, Unaijua hii?;- Drogba amejiunga na timu hii kama mchezaji na mmiliki

Staa wa soka wa kimataifa wa Ivory Coast aliyewahi kuichezea Chelsea ya England kwa mafanikio Didier Drogba amerudi kwenye headlines za soka kwa mara ya kwanza toka aachane na timu ya Montreal Impact.

Drogba mwenye umri wa miaka 39 aliachana na Montreal Impact kwa miezi kadhaa na kukaa bila timu licha ya kuwa alipokea ofa nyingi kutoka katika timu za England, China, Ufaransa na timu ya Corinthians ya Brazil baada ya kuichezea Montreal kwa miezi 18.

Drogba ametangazwa kujiunga na timu ya Phoenix Rising FC ya Marekani iliyopo daraja la tatu (American’s United Soccer League) kama mchezaji na sehemu ya mmiliki wa timu hiyo ambayo sio maarufu.

Drogba ana malengo ya kuiwezesha Phoenix ishiriki Ligi Kuu Marekani (MLS) mkataba wa kuichezea timu hiyo unaweza kuwa wa misimu miwili au mitatu kabla ya kuamua kuwa kocha au sehemu ya utawala wa timu hiyo, Drogba ana hisa katika timu hiyo.

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s